LYRICS: Young Lunya – Vitu Vingi

Young Lunya, a phenomenally gifted rapper, singer, and songwriter from Tanzania, makes an appearance on the music scene with the official video for his popular song “Vitu Vingi.

Press Play & Sing Along πŸ‘‡

Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi

Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih!
Wananipakazia maushenzi baaw!!
Ila haimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!

Natoka nyumbani kwenda kutafuta ili nyumbani tusile dagaa
Muda ni mchache mambo ni mengi staki mtoto ulale na njaa
Pirika pirika tunapigika na sio kitoto balaa balaa
Na sie wengine sio wakishua vyema kwenda kupigana na mtaaa

So penya penya ka pikipiki
Nilete baga na vichips chips na tukuku kuku koni pipipipi na matundatunda ndizi matikiti,
Na vijiti vipi?
Kila nnachofanya unakijua ntakuchiti vipi
Shoga zako wanaojifanya hawanipendi hao ndo ambao wanauzimia mziki

Na siwapi nafasi, nawalia bati
Mademu wengine wa nini kujifanya mswati
Ndomana sazingine natoka nyumbani nasahau hata kupiga mswaki
Na muda mwengine sitoi hata kodi ya meza natoka kibati hapo utashindia maandazi ila
Nikirudi ni party
Wengine wanasema nawataka ila wao ndo wamejaa kwenye DM
Na wala hawachezei block ila najifanya I don’t see em

Wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu upo kwako waambie
Mimi ni wa kwako waambie wewe ni wa kwangu ndo kiboko ya mie

Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi

Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih! Wananipakazia maushenzi baaw!! Ila
Aimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!

Kukupoteza wewe siwezi kubali
Kitu kingine nnachokipenda unanikubali, alafu mwenyeewe unajikubali,sie tuna kitu
Tutafika mbali,
Nitakupereka kwa mama akakuone nimepata mwali

Sasa..
Muda mwengine kichwa kinapata moto maana hata ukitazama simu haziiti
So inanibidi nipanguse chanda pesa kwenda kuzitafta kibishi
Nitajua mbivu nitajua mbichi
Nawe nakujua unavyopenda maupishi
Nywele pochi out kila week
Sasaa! Kwa kipato gani cha mziki!?
Maneno hayakosi yapuuze mpaka wakuone una nyodo
Nami sikuachi chini ya mpera nimeokota dodo
Action nyingi maneno kidogo
Maskio hayataki tena kuskiza zogo, bize kama tunakata gogo
Ndoto haziwezi kutimia kama mwendoo ni mdogo

Walikuja wenye magari na nyumba na hawakukupata
Sasa inabidi nipambane kukupa chochote utakachokitaka
Iphone sijui nini vitakaataka
Nilete chochote utakachotaka
Ndomana nakwenda mchaka ili baby akiitaka baby anaipata

Wengine wanasema nawataka ila wao ndo wamejaa kwenye dm
Na wala hawachezei block ila najifanya i don see em

Wajuze ya kwamba siwezi kujigawa moyo wangu upo kwako waambie
Mimi ni wa kwako waambie wewe ni wa kwangu ndo kiboko ya mie

Kichwa kina vitu vingi ila haimaanishi sikupendi
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi
Shoga zako, wana tabia za kishenzi
Wananipakazia maushenzi ila haimaanishi sikupendi

Kichwa kina vitu vingi eeii!
Ila haimaanishi sikupendi baaw!!
Sitabiliki siambiliki ila haimaanishi sikupendi ooouh!!
Shoga aah!! Zako eeii!! Wana tabia za kishenzi yiiih! Wananipakazia maushenzi baaw!! Ila
Haimaanishi sikupendi skkkkrrrr!!

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here