LYRICS: Anjella Ft. Harmonize – Kioo

Enjoy Anjella’s Kioo Lyrics with Harmonize. A few months after the two labelmates released their hot collaboration, “Toroka,” comes the ideal duet.

Press Play & Sing Along 👇

Bboy beats
Konde boy call me number one
Bakhresa aiiih
Angella aaaah

Na ikitokea umemuona mvute chini umwambie mwenzake me sijiwezi
Yeye ndio wakunifanya nikapona mwana wa mwenzie, haya maradhi ya mapenzi
Anaposhika akipaacha sipaoni sometimes I feel kaniita peponi
Akija pangoni ulimi sikioni
She turn me oooh on
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah)
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah)

CHORUS

Baby nataka kiwe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe

VERSE 2

Ah kwenye kivuli cha picha yangu nakuona wewe my boo yeah
You do me like I do (mmmmh)
Tuwapa maswali yasiyo na jibu tuwapunguze gubu
Tuzichore tattoo mmmh yeeeeiiih
Yani nimeoza kwako chaka chaka
Kipa magoli kwako nanyaka nyaka
Chochea kuni moto tayari nishawaka (mmmh yooo)
Ukizama unapagusa unapotaka
Swala la ufundi sina shaka
Ndani ya moyo nishakupa madaraka aaah
Only you baby mwengine sidhani
Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi

Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah)
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah

Baby nataka kiwe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo
Ukicheka me nitacheka nawe

Only you baby mwengine sidhani

Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here